Msaada kwa wenye ufahamu wa biashara ya ukopeshaji (micro-credit)

Msaada kwa wenye ufahamu wa biashara ya ukopeshaji (micro-credit)

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,054
Reaction score
585
Wanajukwaa salamu kwenu. Ninaomba msaada wa kimawazo na ushauri;
Wakuu nipo kwenye utafiti wa kuangalia fursa ya kuanzisha taasisi ya ukopeshaji kwa wananchi ambao hawajapata huduma hii kutoka kwenye mabenk yaliyopo. Sasa wana jukwaa je kwa maoni yenu ni mkoa gani ambao fursa hii ipo, pia ni changamoto gani zipo katika biashara hii? Pia nilazima kuisajili mwanzoni au naweza kuanzisha biashara hii halafu nikaisajili badae?

Karibuni wanajukwaa, natanguliza shukrani zangu kwenu..
 
Habari mkuu.nafanya consultant kwa biashara ya Micro finance..
Welcome tuzungumze ni PM
 
Habari mkuu.nafanya consultant kwa biashara ya Micro finance..
Welcome tuzungumze ni PM

Mkuu acha uchoyo, pm ili iweje??? Kwa nini usiweke tu hapa mpaka mfatane pm? By the way hapa si facebook wanako fatana inbox kwa wenye uchoyo na vijitabia vngne vya ajabu kama hivi. Ushauri wangu weka jukwani uli wengne nao wapitie kwa maana huenda ukawa hauko sahihi hivo utapata mtu atakurekebisha. Ni mawazo tu usijenge chuki
 
Habari mkuu.nafanya consultant kwa biashara ya Micro finance..
Welcome tuzungumze ni PM

Sababu amesema ni consultant basi anatoza pesa kwa kutoa habari yake. Ndugu labda ungesema unatoza pesa kwa maneno watu wakuache bila kukusema
 
Wakuu asanteni sana kwa positive reaction zenu ila kama unajua chochote kuhusu micro finance usisite ku share.
 
Zipo taasisi ambazo zinatoa ushauri wa kitaalamu na hata msaada wa jinsi ya kuanzisha na kusimamia. Mojawapo ni Dunduliza. Unaweza kuwapata head office Tabata wamekuwapo muda katika shughuli hiyo. Nikipata namba zao nitakurushia hapa hapa.
 
Back
Top Bottom