Wanajukwaa salamu kwenu. Ninaomba msaada wa kimawazo na ushauri;
Wakuu nipo kwenye utafiti wa kuangalia fursa ya kuanzisha taasisi ya ukopeshaji kwa wananchi ambao hawajapata huduma hii kutoka kwenye mabenk yaliyopo. Sasa wana jukwaa je kwa maoni yenu ni mkoa gani ambao fursa hii ipo, pia ni changamoto gani zipo katika biashara hii? Pia nilazima kuisajili mwanzoni au naweza kuanzisha biashara hii halafu nikaisajili badae?
Karibuni wanajukwaa, natanguliza shukrani zangu kwenu..
Habari mkuu.nafanya consultant kwa biashara ya Micro finance..
Welcome tuzungumze ni PM
Habari mkuu.nafanya consultant kwa biashara ya Micro finance..
Welcome tuzungumze ni PM
Habari mkuu.nafanya consultant kwa biashara ya Micro finance..
Welcome tuzungumze ni PM