Mohamed mkami
Member
- May 7, 2022
- 51
- 85
My friend, hujakosea sana kuulizia hapa, lakini uwe na tahadhari sana sana. Hii ni kwa sababu biashara ya kuelekezwa kwenye mtandao ni tofauti kabisa na hali halisi. Ukiambulia chochote hapa, usisahau kwenda kujazia kwenye field huko ''site'' ndiko kuna uhalisia. Hapa chukuwa 10% na huko fanya utafiti wa 90%.Habari wakuu natumai mko poa kabisa...
Nahitaji kufanya biashara ya hardware nikiwa kwenye upande wa vifaa vya Bomba pekee yani nahitaji niwekamili katika upande huu kabiaa....
Ni vitu gani vya kuzingatia zaidi maana nimekutana na fundi Bomba kadhaa na kila mmoja alinipa kile ambacho anafahamu kuhusu iyo biashara, Sasa nikasema niulizie pia kwa wauzaji wa madukani ili kufahamu zaidi kuhusu hii biashara changamoto zake na machimbo ya jumla kwa hapa nyumbani na hatakama ni kuagiza utaratibu ukoje.
NATANGULIZA SHUKRAN.
Nakuelewa Mkuu Asante sana.My friend, hujakosea sana kuulizia hapa, lakini uwe na tahadhari sana sana. Hii ni kwa sababu biashara ya kuelekezwa kwenye mtandao ni tofauti kabisa na hali halisi. Ukiambulia chochote hapa, usisahau kwenda kujazia kwenye field huko ''site'' ndiko kuna uhalisia. Hapa chukuwa 10% na huko fanya utafiti wa 90%.
Nakuelewa mkuu Ntafanyia kazi Asante Sana.Mtaji wa m1 unatosha kuanzia kwenye chimbo unaeza chukua bomba moja kwa jero na kuuza kwa buku, changamoto weka sehemu sahihi tafuta mafund uwape akili ya kaz kwamba ukiniletea mteja una kias flan au mteja akija dukan atafaidika na yongeza ya,....mengine katafute kwa wengine
Sahii mkuu.KAZI ni kipimo cha utu