Msaada kwa wenye uzoefu wa gari Audi A3 Hatchback 2005

esc

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
7
Reaction score
2
Msaada kwa wenye uzoefu na hiyo gar tajwa hapo juu kwenye vigezo vifuatavyo

Durability
Performance
Comfortability
Other factors
 
Audi ni German car, kama Mercedes, BMW, Porsche au Bentley, Rose royce &Co. hivyo ni full nondo!
 
Ni
Msaada kwa wenye uzoefu na hiyo gar tajwa hapo juu kwenye vigezo vifuatavyo

Durability
Performance
Comfortability
Other factors
Gari nzuri tatizo lipo kwenye spea ni very expensive kama una uwezo wa kuilea ichukue.
 
Shukran...spear sio tatz as long as zinapatina....

Vp Comfortability yake ukilinganisha na VW golf gti?
 
Golf gti is my favorite hatchback!
Go for it.
Ina kila sifa kiongozi.
 
Hizo gari zina balance sana road, AUDI IS THE BEST
 
Back
Top Bottom