polen na majukumu wanajamvi, ninaomba mtu yeyote anaefahamu kuhusu credit transfer anisaidie kunipa msaada maana mwenzenu nimechanganyikiwa hapa nilipo nimekuwa discontinue kweny chuo fulan kwa sababu ya course moja sasa ninaomba kwa yeyote anaefahamu zaidi aweze nisaidia maana kuanza upya kabisa ni kipengelee na ukizngatia nimepiga had mwaka wa tatu.asanten