Ronzobe B29
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 242
- 89
Kama inavyosomeka hapo juu, ninashauku kubwa ya kujifunza hiki kitu hivyo kama unajua au kuna mtu unamjua tafadhali usisite kunitonya.
Unaweza PM au hapa kwa faida ya wengine.
NB: kwa waliododoma mjini au maeneo ya karbu na mjini
Soma heading "msaada"Utanipoza ngapi nikupatie uyo mtu.
Njoo pm nikupe maujuziKama inavyosomeka hapo juu, ninashauku kubwa ya kujifunza hiki kitu hivyo kama unajua au kuna mtu unamjua tafadhali usisite kunitonya.
Unaweza PM au hapa kwa faida ya wengine.
NB: kwa waliododoma mjini au maeneo ya karbu na mjini
Leo nitakuja hko mkuuNjoo Nkuhungu Stera bar ulizia muhudumu yeyote mtaalamu wa kutengeneza sabuni watakuonyesha niliopo karibu
Njoo nikufundishe bureeee bila malipo mkuu,Kama inavyosomeka hapo juu, ninashauku kubwa ya kujifunza hiki kitu hivyo kama unajua au kuna mtu unamjua tafadhali usisite kunitonya.
Unaweza PM au hapa kwa faida ya wengine.
NB: kwa waliododoma mjini au maeneo ya karbu na mjini
Sitaki za maji, nataka za miche kama unajua freshNjoo Nkuhungu Stera bar ulizia muhudumu yeyote mtaalamu wa kutengeneza sabuni watakuonyesha niliopo karibu