J Jahom JF-Expert Member Joined Aug 26, 2008 Posts 351 Reaction score 33 Jul 15, 2014 #1 Nimeingia kwenye web ya CHEKI.co.tz nikakuta vigari vinauzwa, vingine kwa bei fulani nzuri. Naomba uhakika wa watu hawa na vitu wavavyotangaza kama siyo famba.
Nimeingia kwenye web ya CHEKI.co.tz nikakuta vigari vinauzwa, vingine kwa bei fulani nzuri. Naomba uhakika wa watu hawa na vitu wavavyotangaza kama siyo famba.
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,939 Reaction score 3,259 Jul 15, 2014 #2 jamaa wapo poa tu ila rahisi gharama jiandae kugharamia matengenezo,ukiona bei rahisi usione wamejivuruga na umewaweza
jamaa wapo poa tu ila rahisi gharama jiandae kugharamia matengenezo,ukiona bei rahisi usione wamejivuruga na umewaweza
J Jahom JF-Expert Member Joined Aug 26, 2008 Posts 351 Reaction score 33 Jul 15, 2014 Thread starter #3 Asante