Msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa mfumo wa injini ya gari

Stockman

Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
70
Reaction score
82
Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
 
Cheki plagi......
nadhani tatizo lipo hapo....
ita fundi akague plug
 
Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni

Kuna chochote ambacho mlishafanya?
 
kaweke injini mounting nyingine

Asante sana kwa ushauri ndugu yangu. Jana nilienda kwa fundi wakaniwekea plug mpya lile tatizo likaanza kupungua mpk sasa naona gari limekaa vizuri
 
Jana nilipobadilisha plug nikaona ile hali ya mtetemo umeanza kupungua. Plug tano zilikuwa zimepiga shoti. Asante sana kwa ushauri
Nimefurahi umeanza kufanikiwa but hakikisha unaweka plug zinazoendana na gari yako....
unamaliza tatizo
 
Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
Nadhan itakua ni issue ya misfiring, kacheki plugs kama ziko sawa.

Kwani ni gari aina ipi?
 
Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
Habari. Gari lako limepona
 
Back
Top Bottom