Msaada kwangu je nina vigezo vyovyote?

Allen E pyuza

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Jaman mnisaidie maana Form 4 div I ya point 13 lakin form six nimefeli sasa kwa kutumia matokeo ya form 4 ntaenda chuo gani?
ALLAN E PYUZA Matokeo yangu ni civ-C,hist-C, kisw-B,Geo-C,Engl-A ,Phy-A,Chem-B,Bios-C,Math-A
 
Ndugu yangu umejitahidi sana, hapa JF ni tuna hazina ya mambo yote hivyo pitia hii thread kisha ujue ni nini cha kufanya.BONYEZA HAPA.
 
je nina vigezo vyovyote na kama vipo mnanishauri nifanye nini maana mpaka sasa kila nalofikiria naona sio
nimepata div IV ya point 27
civ-D,hist-F, kisw-D,Geo-D,Engl-D ,Phy-D,Chem-D,Bios-D,Math-C
sasa hapa nifanye nini ?
Nenda VETA hujachelewa
 
je nina vigezo vyovyote na kama vipo mnanishauri nifanye nini maana mpaka sasa kila nalofikiria naona sio
nimepata div IV ya point 27
civ-D,hist-F, kisw-D,Geo-D,Engl-D ,Phy-D,Chem-D,Bios-D,Math-C
sasa hapa nifanye nini ?

unaweza kusoma certificate in clinical officer: tembelea www.tihest.org
waambie na wengie
 
Una vigezo,unaweza kuomba course za clinical ass,nursing au lab but certificate,.muda wa kutuma maombi ni sasa,tembelea hapa kwa more infos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…