Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Daah pole sana, unapotongoza vp hali ni hiyohiyo?..
je unatumia dawa aina sabtamol ?
Daah pole sana, unapotongoza vp hali ni hiyohiyo?..
Mkuu sifikri kama kuna dawa ya kukufanya usitetemeke ila ni swala la kisaikolojia zaidi nafikiri ukimuona daktari wa saikolojia atakusaidia,hebu jaribu Seliani ile ya mjini acha ile ya Ngaramtoni.
Lakini njia yenyingine kupunguza hilo ni kuelewa kwa ufasaha kile unacho present inapunguza hofu.
Mimi nilikuwa na tatiza hilo mimi liliisha kwa kumuomba Mungu sana maana ilifikia hatua hata nikiongea mbele ya watu 6 natetemeka lakini sasa naongea hata kwa maelfu.
Kweli mkuu ni kuomba tu, hiyo ni roho ya hofu. Nami nilikuwa muoga mno ila imeisha kwa maombi tu.
Mkuu niling`ang`ana na yale maandiko hamkupewa roho yahofu bali ya ujasiri na lile mna ufalme usiotetemeshwa,na kama Roho mt.yuko ndani kwa nini kutetemeka? namtukuza Mungu kwa kweli na wewe hongera sana.
Hata ninaposoma hizi post nnakua na hofu utadhani watu wananiona
Hata ninaposoma hizi post nnakua na hofu utadhani watu wananiona
we jamaa unaleta utani sasa!
Sio utani ni kweli
Vidole vinatetemeka sana ninapomjibu mtu kwenye mitandao hata sms!
Sio utani ni kweli
Vidole vinatetemeka sana ninapomjibu mtu kwenye mitandao hata sms!
labda ungetueleza ni nini hua unaogopa kutoka kwa watu...au hua unawaza nini labda unapoongea na watu kinachokufanya uwe na wasi wasi kihasi hicho..
na pili wazazi wako walikua wakali sana kipindi unakua?