bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,699 Reaction score 4,117 Jun 14, 2019 #1 Naomba kujua kwenye payslip yangu, Nakatwa Development Levy, Wokers compensation, pamoja na kodi. Naomba kujua. Nini tofauti ya hiyo development levy na hiyo kodi? Ahsanteni.
Naomba kujua kwenye payslip yangu, Nakatwa Development Levy, Wokers compensation, pamoja na kodi. Naomba kujua. Nini tofauti ya hiyo development levy na hiyo kodi? Ahsanteni.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Jun 14, 2019 #2 Wadau bado hawajauona uzi, vuta subira kwanza
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,699 Reaction score 4,117 Jun 15, 2019 Thread starter #3 kimya?
AbuuMaryam JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,577 Reaction score 4,637 Jun 15, 2019 #4 NAONA HILI JUKWAA LIFUTWE....MAANA WANASHERIA WENYEWE HAWAPO WANATAKA TUWAFUATE MAOFISINI MWAO...