mandwa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 1,493
- 361
Habari,naomba mnisaidie kuna kibarua wa miaka 6 nauliza hivi kuna sehemu nafanya kazi kwa Wahindi kuna watu wapo wanafanya kazi zaidi ya miaka5 lakini ni vibarua je hii ni haki,na kama si haki nini cha kufanya maana kuna watu hawajawahi kuenda likizo kwa miaka hiyo yote na hawajapatia hata mkataba wa kazi je hii sawa?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums