Msaada kwenye ajira portal: Verification certificate ni nini?

Msaada kwenye ajira portal: Verification certificate ni nini?

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
3,127
Reaction score
3,062
Wenye kujua tafadhali
 

Attachments

  • IMG_20220606_050725.jpg
    IMG_20220606_050725.jpg
    101.6 KB · Views: 72
Muuli ????!
Ndio utamlipa ili apige muhuri juu ya copy za vyeti vyako, alafu utarudi stationary utamwambia unahitaji ku vi scan, na utavi upload kwenye ajira portal.
Pia ni vyema hizo scanned copes zenye muhuri ukajitumia kwenye email, ikitokea kuna sehemu nyengine wanazihitaji uwtumie, itakusaidia kukwepa gharama kujirudia rudia.
 
Sasa kama msomi mzima iwe wa Certificate,Diploma au Degree haujui maana ya VERIFICATION CERTIFICATE basi tatizo ni kubwa sana
Wasomi uchwara wanazingua Sana Hawa elimu za kubahatisha...hatukatai huwezi kujua yote ila Hadi neno verification linamshinda duh
 
verification certificate ni kwa wale walosoma Nje ya Nchi ambao wanatakiwa wapeleke vyeti vyao TCU vihakikiwe

Nahisi nimeeleweka
Hii ndo sahihi kabisa, verification ni ile cheti utapewa na necta kama ulisoma secondary nje au tcu kama ulisoma chuo nje ya nchi
 
Back
Top Bottom