Habari wana Jf,
Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar.
Nilikuwa naomba.
1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na biashara hii inakuwaje na inafanywajwe.
2. Connection za wakulima wa zao hili.
3. Connection za masoko huku Dar hata sehemu nyingine zenye masoko ya uhakika.