Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
halooooo.
Hope mko ok wote. Jamani mwenzangu amenipiga stop ya kunido eti anasema kwa 7bu ya kwaresma, kila ninapomuhitaji hataki kabisaaa, hvi inawezekana kweli hyo ikawa 7bu au analake jambo
Asanteni kwa ushauri
hatujafunga ndoa, ila tunaishi pa1 na tuna mtoto m1
hatujafunga ndoa, ila tunaishi pa1 na tuna mtoto m1
Do the Dew! Hujambo mamito?hebu watu wasikutishe bana....kila mtu anauliza kama mmeoana......ndoa kitu gani bana wakati wa kiu.....we tii kiu yako....kiu haiigwi.....kama umekosa coca si unakunywa hata fanta kwa leo tuu....aaaghhhh
Do the Dew! Hujambo mamito?
ofcourse nilikuwa na kiu, nilivumilia kubana miguu, hatimaye simtamani tena hafu nimemchukia sana