vp umejaribu ku2mia bila kuweka batter ikawaka au ndo inaonyesha hvyo hvyo jaribu na ukiona haiwak ujue charge system ni mbovu sawa fanya hvyo alafu 2ambie
yaani hizi laptop huwa ni kimeo hasa kwenye power button..jaribu kufata maelezo ya leney..au chaji kwenye laptop nyingine halafu ndiyo uweke hapo kwenye laptop yako na ununue kifaa kabla kuja jua kama ndicho chenye tatizo ita-cost ..kama uko arusha ni pm
Habari wakuu.
Nina laptop yangu Dell Latitude D610 betri yake haichaji na pale kwenye icon ya charging inawaka rangi ya orange mara nne then kijani mara moja. Niondoa power source laptop inazima ikonesha kwamba betri ni empty. Nikadhani labda tatizo ni betri hivyo nikanunua mpya lakni bado tatizo ni lile lile. Naombeni msaada kwa mnaujua vizuri.
Nawakilisha.