Msaada kwenye FB ADS

Msaada kwenye FB ADS

Bossprota

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
336
Reaction score
373
Mimi sipo vizuri sana kwenye maswala ya digital marketing nahitaji kujua vitu viwili kutoka kwenye hii kitu.

1: Kipi hutokea kama hujaweka kabisa audience's interest inamaana itapiga viral au ita categorise itself.

2: Hivi unapochagua audience wa eneo flan mfano Mbeya au Iringa je system itadetect kila audience aliendani ya eneo husika auu aliesave kwenye profile kwamba anatokea eneo fulani mf mtu kaandika home town Mwanza Current city Labda dar es salaam je audience itaempick ni huyu aliyeandika profile au Alie kwenye physical location.

Msaaada tafadhari
 
Back
Top Bottom