Hello jf!nina rafiki yangu ambae kiumbo ni mrefu na mnene wa wastan,ana galfrd wake ambae ni mfupi bt nae ni mnene wa wastan!tatzo ni kwamba huyu msela wangu anataka kumpga huyu gal chini eti kisa ni mfupi sana kwake!me nimemshauri asifanye hvo bt ye still kabaki na msimamo wake.ni busara kweli kumuacha mtu kwa kigezo hcho au jamaa kamchoka tu?
Sababu ya kweli anaijua mwenyewe.
Kama huo ufupi ndo anauona leo basi jua ameshamchoka na anachotafuta ni kisingizio tu. Mshauri amwache tu dada wa watu maana atakua anamfanyia favor akapate mtu wa maana huko mbeleni.
compromise leads to unhappiness.....so if boy wants a taller lady piga chini tuu tatizo lipo wapi bwana!!!
mbona wanawake wenyewe wanakutosa kwa mambo ya kijinga kama kutokuwa na muscles....
compromise leads to unhappiness.....so if boy wants a taller lady piga chini tuu tatizo lipo wapi bwana!!!
mbona wanawake wenyewe wanakutosa kwa mambo ya kijinga kama kutokuwa na muscles....
Urefu au ufupi sio tatizo kuna kitu huyo mdada kamfanyia mshkaji , tatizo unaweza kukuta huyo demu pamoja na ufupi wake anamtamkia wazi mshkaji kwamba anapenda watu warefu kama Dhabiti! imagine pamoja na ufupi wake anamwona jamaa mfupi,
Ukweli ni kwamba mademu wafupi ni wabishi, wanachonga sana na wanapenda chini