The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26 sasa. Toka nianze kupata period haijawahi kutokea nikakosa period on time. Ila this time imekuwa tofauti. Ni miezi miwili toka nisex na mwezi uliopita nilipata period kama kawaida lakini mwezi huu imegoma kabisa na sasa zimepita siku zaidi ya 15 na sina dalili yoyote ya kuingia period.
Nilipima mimba jana kwa kutumia pregnancy test na iliniletea matokeo negative.
Ninampango wa kwenda hospitali lakini nina hofu sana sababu ni mara ya kwanza kukutana na kitu kama hiki. Ni kheri ningekutwa positive nikajua ni mimba.
Naombeni mnisaidie wajuzi, angalau nipate pa kuanzia.