The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
Sijawahi kutumia hizo dawa wala sindano ama njiti. Wala abortion sijawahi fanya.Ngoja wajuvi waje, ila inawezekana unatumia uzazi wa mpango au umebadilisha mazingira.
Sijaelewa?Itakuwa vyuma vimekaza
Hofu yangu nahisi pengine inaweza ikawa ni ugonjwa mkubwaTuliza akili yako kama ipo utapata tu na kama umepata mimba hormone zikiwa za kutosha pregnancy test itakuwa positive... Hofu yako inatoka wapi?
Sex tenaSijaelewa?
Yeye sijamwambia bado. Sikuwa na dhamira ya kupata mimba.Ulikusudia kuwa na mimba au hukutaka kuwa nayo?
Aliyesex nawe anasemaje kuhusu hali hiyo?
PT iko sawa ila angalia tena baada ya muda mchache angalau wiki mbili huenda ukapata majibu zaidi
Ila ukiwa unakula uroda hukutuambia tungekushauri kitu labda
Ondoa shaka mambo ya kawaida tu kwa hedhi kubadilika kwa wanawake wala si ajabu. Kama ukibadili hali ya hewa na siku zinaweza kubadilikaHofu yangu nahisi pengine inaweza ikawa ni ugonjwa mkubwa