Msaada kwenye hili wakuu

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Ndugu wana JF napeda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa jitihada za kusaidiana pamoja na kuelimishana kwenye nyanja tofauti. Mimi nina ombi moja hapa, mimi nimemaliza ARDHI UNIVERSITY kama QUANTITY SURVEYOR, nipo competent kwenye field ya building construction kama: Measurement of quantities (building works)

Construction cost estimating, cost planning and cost management.

Procurement of works and Contract administration
Maintenance management, Property and Facilities Management. e.t.c
Natafuta kazi kwenye makampuni ya building contractors ama kwa building consulting firm kama Quantity Surveyor , please wakuu mwenye kuweza kunipa direction. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Muombe mungu tu mkuu,utapata kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…