Msaada kwenye hili watu wa fashion

Msaada kwenye hili watu wa fashion

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wana JF

Hebu tupeane uzoefu wa mambo ya fashion kuhusu vifungo vya shati kukaa mkono wa kushoto au wa kula.

Kuna ukweli wowote kwamba vifungo vikikaa mkono wa kilia ni shati la kiume na vikikaa kushoto no shati la kike
Msaada kwenye hili
 
Huu ndiyo utaratibu tangu enzi za wahenga, vifungo vikiwa kushoto hiyo ni blouse siyo shati.
 
Ukweli ndio upo ivyo haina Aja ya kupindisha
Tumeongopewa sanaaaaa
Au nasema uwongo ndugu zanguuu.
 
Habari wana JF
Hebu tupeane uzoefu wa mambo ya fashion kuhusu vifungo vya shati kukaa mkono wa kushoto au wa kula.
Kuna ukweli wowote kwamba vifungo vikikaa mkono wa kilia ni shati la kiume na vikikaa kushoto no shati la kike
Msaada kwenye hili
Unachanganya mambooo.

Vikiwa kulia na kufungwa na kusho ni kwa wanaume, na vikiwa kushoto na kufungwa na kulia ni kwa wanawake. Angalia, hata mfuko wa shati una kaa kushoto, kwahiyo upande uliko mfuko wa shati ndio upande unaofunga vifungo wa shati la kiumee.

Hata salawili, zipu inapo kua upande wa kushoto ni ya kiume, inapokua kulia ni ya kike.

Ndio maana hata suti kale ka mfuko ka juu kanako wekewa(ga)ua huo kako mkono wa kushoto kwenye suti ya kiume.

Kwa maoni yangu iliwekwa hivyo ili kuweka utofauti wa nguo za kike na kiume, ndio maana kwenye mavazi yapo ya kike na kiume.

Karibu tena.
 
IMG_20211106_123301.jpg
 
mwanaume vidhkizo vinakaa uoande wa kulia, masela wengi tu wanatupiaga blauzi bila wao kujua.
 
Back
Top Bottom