Unachanganya mambooo.
Vikiwa kulia na kufungwa na kusho ni kwa wanaume, na vikiwa kushoto na kufungwa na kulia ni kwa wanawake. Angalia, hata mfuko wa shati una kaa kushoto, kwahiyo upande uliko mfuko wa shati ndio upande unaofunga vifungo wa shati la kiumee.
Hata salawili, zipu inapo kua upande wa kushoto ni ya kiume, inapokua kulia ni ya kike.
Ndio maana hata suti kale ka mfuko ka juu kanako wekewa(ga)ua huo kako mkono wa kushoto kwenye suti ya kiume.
Kwa maoni yangu iliwekwa hivyo ili kuweka utofauti wa nguo za kike na kiume, ndio maana kwenye mavazi yapo ya kike na kiume.
Karibu tena.