Msaada kwenye kipleft: Utundu gani nifanye kuvunja faili kubwa?

Msaada kwenye kipleft: Utundu gani nifanye kuvunja faili kubwa?

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,215
Reaction score
3,076
Ndugu Zanguni,

Heri ya mwaka mpya 2010.

Kwa kifupi ndugu yenu siko vizuri sana ktk hili. Ningeomba kujuzwa hivi nitumie ujanja gani ? Nina mafaili yangu makubwa ya documentary, format ya .MKV na jengine .MP4 ambalo ningependa kulihamishia ktk kompyuta nyingine ili nilifaidi kwa raha zangu (raha jipe mwenyewe concept), sasa nifanyeje ili niweze kulivunja ktk vipande vidogo ili niweze kulisafirisha na baadaye kuliunga upya?? Is it possible kufanya hivyo? Kama ni possible basi ningerai wakwezi wenye fani muienzi fani kwa kuokoa jahazi. Nategemea ktk uungwana wenu.

PLS: Kama huna input tafuta thread nyingine.

Masalama.
 
njia nyingine ingekuwa kulifanyia compression kwa archiver kama 7zip, PowerArchiver na nyinginezo. Kisha ungehamisha kwa usb thumbdrive kwenda machine nyingine na kufanya extraction.simpoz
 
Back
Top Bottom