M Mechanics JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 295 Reaction score 26 Jun 22, 2013 #1 Habari wajumbe mimi nimemaliza form six mwaka jana niliaplay mkopo nkapata lakin kdogo mno yan ada siku pewa kabisa and nilsoma sayans sasa nlikuwa naulza naweza nka appeal mwaka huu baada ya majina ya mkopo kutangazwa?
Habari wajumbe mimi nimemaliza form six mwaka jana niliaplay mkopo nkapata lakin kdogo mno yan ada siku pewa kabisa and nilsoma sayans sasa nlikuwa naulza naweza nka appeal mwaka huu baada ya majina ya mkopo kutangazwa?
O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,028 Reaction score 1,496 Jun 22, 2013 #2 huo usumbufu utakao upata afadhali uendelee kukomaa unless kuna mtu uka mcorrupt kule bodi
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Jun 22, 2013 #3 Kuna ambao ameambulia NIL mkuu!!
M Mechanics JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 295 Reaction score 26 Jun 23, 2013 Thread starter #4 Nashkuru wakuu lakin kuappeal si inawezekana
FUJISTU JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 261 Reaction score 93 Jun 23, 2013 #5 Mechanics said: Nashkuru wakuu lakin kuappeal si inawezekana Click to expand... inawezekana lakini probability ya appeal yako kuwa succesful ni ​0.001
Mechanics said: Nashkuru wakuu lakin kuappeal si inawezekana Click to expand... inawezekana lakini probability ya appeal yako kuwa succesful ni ​0.001