prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 191
Mimi huwa naandika jina tu. na nimekuwa nikiitwa kwa interview japo kazi sijapata.
Mkuu mimi huwa naandika tu jina na nimeitwa Interview kadhaa hivi so haina shida andika2 utume mkuu kama ipo ipo2
@parakatatumba , avatar yako inatisha, badili vatar yako, labda ndio maana hata response ya kujibiwa imekuwa hivyo!
Andika email kama kawaida then weka jina lako,utaitwa tu kwa interview
Wakuu mnataka kuniambia hakuna aliyewahi kuomba kazi kwa njia ya mtandao/internet?
Ukishaandika jina lako juu yake andika haya maneno: SGD. Ukiona hofu imekutanda, basi iandike kwa mkono halafu isaini baada ya hapo ui-scan halafu itume. Kama vipi tuma kwa mkono.
Note: Kama unaomb kazi serikalini, hiyo biashar ya kutuma kwa njia ya net sahau mkuu, tuma manually!
SGD what does it stands for?
Scan barua yenye SIGNATURE, afu iedit, then crop SIGNATURE pekee, then save, then unaweza ukawa unatumia hiyo SIGNATURE kwa any application letter kwa copy and paste sehemu ya signature kwenye barua yako.signed
Scan barua yenye SIGNATURE, afu iedit, then crop SIGNATURE pekee, then save, then unaweza ukawa unatumia hiyo SIGNATURE kwa any application letter kwa copy and paste sehemu ya signature kwenye barua yako.
Unaweza ukaiconverting barua hiyo to pdf format, then ready to be used
MI HUWA NAFANYA HIVYO KWENYE BARUA ZANGU
signed