Mzawa Halisi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 642
- 375
Wakuu,
naomba msaada wa kunisaidia kutatua tatizo langu kwenye laptop. Laptop yangu ni Toshiba Satellite, Pent4, Proc 2.3GHz, RAM 512, 120GB HDD. wakati wowote ninapowasha napata message Value creation failed at line 422. Nimempelekea fundi aka install upya Windows XP professional, lakini ikafanya kazi muda mfupi, hiyo message ikarudi tena. Kama kuna member ana weza kunisaidia nitashukuru sana.