Mzawa Halisi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 642
- 375
Wakuu,
naomba msaada wa kunisaidia kutatua tatizo langu kwenye laptop. Laptop yangu ni Toshiba Satellite, Pent4, Proc 2.3GHz, RAM 512, 120GB HDD. wakati wowote ninapowasha napata message Value creation failed at line 422. Nimempelekea fundi aka install upya Windows XP professional, lakini ikafanya kazi muda mfupi, hiyo message ikarudi tena. Kama kuna member ana weza kunisaidia nitashukuru sana.
Hii inawezakana ikawa ni Trojan/virusi kwenye hadi drive yako. Jaribu kufanya hivi;
Use the Windows Setup floppy disks or the Windows CD-ROM to start your computer. At the "Welcome to Setup" screen, press F10 or press 'R" to repair.
At C:windows (or winnt)
type cd system32 the directory should now be
C:windowssystem32
type :
copy userinit.exe wsaupdater.exe
1 file should be copied, now REBOOT!
Inawezekana kama baada ya kuinstall winXP na programs zingine akafanya updates. Hii nilishawahi kuiona baada ya watu kufanya updates za MS na products zingine kama Norton!!
Mkuu Hebrew bado unatumia Program za Norton Anti-Virus?
Hapana mkuu..mimi ni mtu wa Linux na Macs nilikuwa natumia AVG nilipokuwa na PC ya WinXP.
Amini usiamini ..kuna watu wengi hadi leo wanauziwa PC au Laptop mpya na Norton Anti-Virus & internet security
..kuna watu wengi hadi leo wanauziwa PC au Laptop mpya na Norton Anti-Virus & internet security
Inawezekana kama baada ya kuinstall winXP na programs zingine akafanya updates. Hii nilishawahi kuiona baada ya watu kufanya updates za MS na products zingine kama Norton!!
Mkuu jethro kwa wale bado wanaotumia Norton Anti-virus & internet security Kampuni ya Microsoft.com na wanaotumia Avg Au Mc lazima uwaonee huruma kutokana na hawajuwi kile wanachofanya kwa sababu hizo ni Anti-Virus nzito sana zinafanya Computer kuenda taratibu kama Lori lilobeba Magogo nalo lipo juu ya Mlima wa wahehe iringa unaweza kulikamata hata ukishindana nalo kwa mbio utalishinda kwa hiyo wale wanaotumia hizo Anti-Virus 3 wapo Usingizi itabidi uwaamshe sana ingawa alalae usimuamshe. wewe jaribu kuitumia hii Anti-Virus ninayokuambia sasa nayo ni hii hapa chini
Duh me nkikuta mtu anatumia Norton Anti-virus & internet security natamani kulia kwa hasila. ina slow down pc ile mbaya its better na AVG au McAfee nawaonea wivu mnaotumia Mac OS na Linux mie ndio nategemea ku install windows 7 this weekend nione how fast it is
maana vista microsoft pale walichemka mbaya
Mkuu Hebrew, Hiki ndiyo hasa kilichotokea. Nina uelewa mdogo sana kwenye IT, naomba msaada wako nifanyeje isitokee tena.
Kwa wengine wote nashukuru kwa mchango yenu ya mawazo, kutokana na uelewa mdogo kwenye hii fani, bahati mbaya mtu aliyeahidi kutengeneza alichofanya ni ku format na nimepoteza data zote zilizokuwepo.
Mzawa Halisi samahani sana Hivi mmenichanganya sana Ant virus ya Ukweli ya Faster ni ipi maana mimi Ninatumia Karsperki 2009 je ipo poa. naomba jibu maana nimenunua juzi tu nika install katika LG HDD 110GB na ram 1GB
Wakuu,
naomba msaada wa kunisaidia kutatua tatizo langu kwenye laptop. Laptop yangu ni Toshiba Satellite, Pent4, Proc 2.3GHz, RAM 512, 120GB HDD. wakati wowote ninapowasha napata message Value creation failed at line 422. Nimempelekea fundi aka install upya Windows XP professional, lakini ikafanya kazi muda mfupi, hiyo message ikarudi tena. Kama kuna member ana weza kunisaidia nitashukuru sana.
Alifanya Installation upya kweli au alifanya Windows Repair?
Muda mfupi ukimaanisha nini? Siku mbili?