Msaada kwenye Online application

Developers wa system za serikali wana matatizo kwakweli.

Kuna inputs nadhani unakosea lakini developers wa system hawajaweka namna ya ku handle hiyo error, hivyo kukufanya wewe ushindwe kujua ni nini unakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…