OPTIMISTIC
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 125
- 20
Wapendwa Salaam,
Nahitaji kufanya manunuzi kwenye ebay, nimeshindwa kujisajiri kwenye PayPal, ninaomba maelezo kwenye haya yafuatayo:
Nahitaji kufanya manunuzi kwenye ebay, nimeshindwa kujisajiri kwenye PayPal, ninaomba maelezo kwenye haya yafuatayo:
- Billing Address - nikiweka address yangu inatoa error message kwamba address haikumatch na Billing Address ya PayPal
- Naomba yeyote mwenye uzoefu katika manunuzi ya ebay anisaidie kama kuna njia nyingine