Msaada kwenye PayPal Registration kwa ajili ya manunuzi ya Ebay

OPTIMISTIC

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
125
Reaction score
20
Wapendwa Salaam,

Nahitaji kufanya manunuzi kwenye ebay, nimeshindwa kujisajiri kwenye PayPal, ninaomba maelezo kwenye haya yafuatayo:

  1. Billing Address - nikiweka address yangu inatoa error message kwamba address haikumatch na Billing Address ya PayPal
  2. Naomba yeyote mwenye uzoefu katika manunuzi ya ebay anisaidie kama kuna njia nyingine
Cheers,
 

ebay kama ni uingereza itataka adress za uk na kama ebay Usa itataka address ya Usa but hakuna ebay tanzania so huwezi kujisajiri na ukianga kuna vitu wanakwambia hatu post nje ya uk(europe) au us so kama una mtu nchi hizo mtumie otherwise you cant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…