Wakuu wangu wa kazi, huyu dogo anaweza kupata japo Diploma ya Ualimu chuo cha Serikali?
Division IV-19
G/STUDIES-F PHYSICS-S CHEMISTRY-S BIOLOGY-F BAM-S
Mkubwa,naomb umpe Dogo pole,kwa utaratibu wa wizara ya Elimu inabidi muombaji JAPO awe na Principal 1 na Subsidiary. Kwa matokeo hayo hawezi pokewa Stashahada ya Ualimu,kama anaweza aombe CCP naona wametangaza nafasi.