Msaada Kwenye Tuta Jamani: Ni Vizuri Kulijua Hili Kabla ya Kuingia Kwenye Ndoa?


wewe utakayetunga hiyo mimba na kuikataa ndio utasababisha kitoto chako kutolewa kabla ya wakati, ungekua umekuja kwangu na gea njema ya upendo wa kweli, kitoto kisingeuliwa, lakini kwa vile unakuja kufanya uchafuzi tu unakataa damu yako na kusababisha kikatishwe maisha. usijifanye wewe ni msafi sana na kudhani wanawake ndio wenye dhambi. kama wewe ni mwanamme afadhali unyamaze maana hujui alotowa nini kimempelekea kufanya hivyo.
 
Kuna rafiki yangu aliambiwa na mchumba wake ukweli, kwamba aliwahi kuwa na mahusiano na mtu ambaye rafiki yangu anamfahamu -uchumba ulikufa siku hiyo! So wakati mwingine ni vyema kufunika kombe mwanaharamu apite.
 

noma ni pale anapokuja kufanya kosa wakati mko kwenye ndoa linalofanana na mojawapo ya yale alokuwaambia alishafanya unaweza kumwangalia kwa macho mengine yaani kumbe aliniambia kuw alikuwa hivi na ajaacha, wengine huwa wanakiri kuwa wewe uliponiao ulifikiriaje, au uanamkuta bar kakumbatiwa na mwanaume au kamkumbatia bar medi na alishakuambia ndio iliyokuwa fani yake, ni ngumu bana wengine wanarudia makosa bila kujali maana si alishakuambia kuwa ndivyo alivyo?
 
ni vizuri kufanya uchunguzi kabla nakuyajua yote juu ya mwenzako na kuyapima na kuangalia kama unaweza kubebana nayo ili usingoje muingie kwenye ndao ndo ujeumchunguze uvunje ndoa inauma sana na inagharimu ila ukifanya maamuzi kabla ata cku moja kabla ya ndoa ni bora
 
H… Healthy, Hopeful, Humble, Humorous, Hummus eater

A … Appreciative, Approachable, Activist for global peace & justice

P … Peaceful, positive, …

P … Passionate, practical, …

Y… Youthful, yummy, …
 
H… Healthy, Hopeful, Humble, Humorous, Hummus eater

A … Appreciative, Approachable, Activist for global peace & justice

P … Peaceful, positive, …

P … Passionate, practical, …

Y… Youthful, yummy, …

Sipo! "to be honest" sijakuelewa nakuomba nifafanulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…