Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni mgumu wa kuelewa? au unadhani sikuelewa swaliWa kwanza au wa pili?
Mwenza akifariki ama kuoa/kuolewa; pensheni nayo hukoma. Lakini ili uwe na haki ya kupata pensheni, ni sharti uwe umeuchangia mfuko wa pensheni kwa muda wa miezi 180 ama zaidi.Habari wakubwa?
Nina swali kwenye kunufaika na mafao, mchangiaji anapofariki mwenza wake anaendelea kupokea mafao kila mwisho wa mwezi, anapofariki na mwenza utaratibu wa yale mafao unakuaje ama ndo unakoma?
Iko hivi Mume alifariki akiwa amekidhi vigezo vya kupata mafao, familia ikawaganyishwa mama akawa anapokea Ile pensheni kila mwisho wa mwezi sasa mama naye akafariki utaratibu unakuwaje?Mwenza akifariki ama kuoa/kuolewa; pensheni nayo hukoma. Lakini ili uwe na haki ya kupata pensheni, ni sharti uwe umeuchangia mfuko wa pensheni kwa muda wa miezi 180 ama zaidi.
mchangiaji anapofariki mwenza wake anaendelea kupokea mafao kila mwisho wa mwezi, anapofariki na mwenza utaratibu wa yale mafao unakuaje ama ndo unakoma?Ulichosema hakina uhalisia huyu mnufaika kaanza kupata pension tangu 2015 hadi umauti unamfika 2024 ni zaidi ya miaka 6 sasa unataka nikuamini uliposema mitatu?
Shukrani boss maana yake mnufaika atapewa kwa miaka mitatu ,Samahani mkubwa utaratibu wa kufuatwa ili waliobaki waweze kunufaika na malipo kwa hiyo miaka mitatu na miezi 36 ukoje baada ya kifo cha mwenzi?mchangiaji anapofariki mwenza wake anaendelea kupokea mafao kila mwisho wa mwezi, anapofariki na mwenza utaratibu wa yale mafao unakuaje ama ndo unakoma?
hili ndo lilikuwa swali lako au umebadili swali kwenda kwa mchangiaji?

Pensheni inakoma.Iko hivi Mume alifariki akiwa amekidhi vigezo vya kupata mafao, familia ikawaganyishwa mama akawa anapokea Ile pensheni kila mwisho wa mwezi sasa mama naye akafariki utaratibu unakuwaje?