ludoking
Senior Member
- Oct 5, 2008
- 124
- 71
Kwa waliofutailia mdahalo wa Katiba wa mwezi uliopita ulimuweka kitimoto Makamu wa Mwenyekiti wa CC Taifa, Pius Msekwa. Kuna mwandishi wa habari aliongea mengi kuhusu yaliyomo kwenye katiba mpya ya Zanzibar ambayo hayamo kwenye Katiba ya Tanzania. Mfano Katiba ya Zanzibar inamtambua Makamu wa Kwanza wa Rais, Inataja "Shirikisho" na siyo Muungano. KWA HIYO MWENYE HIYO KATIBA MPYA YA ZANZIBAR ILIYOCHAKACHULIWA, AILETE HAPA JAMVINI TUISOSOMOE