komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
Tulizana dogo usiende speed kali, wewe nenda naye taratibu, huyo kisha kuwa wako....ukianza fujo basi utamkosa.
we unataka kufanyaje?
Kumlazimisha awe mpenzi wako? Maana ameshasema hapana na bado hujaridhika/elewa. Kilichobaki ni wewe kumlazimisha au kuangalia kwingine.
nampenda
Itabidi nikupeleke white house kwa Obama, akufundishe nini mana ya change:biggrin:nimetulia kwa miaka miwili yote hakuna changes, na sioni kama atachange
Kuna dada nimetokea kumpenda mpaka ikanilazimu nimwambie. Ajabu yeye akadai hana hisia juu yangu, anataka tuwe marafiki tu. Kwa miaka miwili sasa wimbo ni ule ule. Anafurahia sana kampani yangu, hasa napomtoa out tuna enjoy sana...nahitaji iwe zaidi ya urafiki yeye hataki nifanyeje?
We unataka kufanyaje?
Kumlazimisha awe mpenzi wako? Maana ameshasema hapana na bado hujaridhika/elewa. Kilichobaki ni wewe kumlazimisha au kuangalia kwingine.
fanya hivi....mwambie kuna msichana umetokea kumpenda ndio upo kwenye mchakato wa kumtokea....uone atasemaje.....
penzi laweza kuwa la shuruta kweli?