Miss Kim
Senior Member
- May 3, 2014
- 164
- 273
Habari za humu wakuu. Mm sio mzoefu wa hili jukwaa ila nahitaji msaada wa mawazo kwenye jambo flani. Nina rafiki yangu ambaye yupo kwenye kikundi cha akina mama cha kuchangishana na kusaidiana. Sasa amenishauri na mimi nijiunge ila bado kama vile nasita kwasababu bado sijaelewa faida na hasara za hivi vikundi.
Policy ya kujiunga kwenye hichi kikundi (it's a legally registered company) ni kwamba unalipa gharama ya uwanachana (membership fee) ambayo ni Tsh200,000/= kisha kila mwezi unachangia Tsh15,000/= ambayo kati ya hiyo Tsh10,000/= ndo akiba yako na Tsh5,000/= ni mchango wa kuendeleza kikundi (operational fee). Hichi kikundi kina miaka mitano (5yrs) hadi leo kwa hivyo mwanachama mpya anatakiwa kulipa michango ya miaka yote mitano ilikuwa at per na wanachama wengine (15,000 kwa kila mwezi kwa miaka 5 ambayo jumla inakua Tsh900,000).
Sasa swali langu wakuu ni hili; Hivi kuna faida zozote za kujiunga na hichi kikundi ama nitakua tu napoteza hela zangu? Kwasababu kuna hiyo Tsh200,000/= ambayo ni membership fee and it is non-refundable siku ukiamua kujitoa kwenye kikundi kisha kuna hiyo michango ya kila mwezi ya Tsh15,000/= ambapo mtu ukiwa na tatizo unaweza chukua mkopo kwenye kikundi at a lower interest na pia mtu ukikubwa na matatizo kikundi kinakuchangia Tsh300,000/=
Naombeni ushauri wenu kabla sijafanya maamuzi ya kujiunga ama kutokujiunga. Natanguliza shukrani zangu na samahani kama nitakua nimekosea popote pale.