Msaada kwenye tuta, Vyuo vya ufundi.

Msaada kwenye tuta, Vyuo vya ufundi.

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,229
Hod jamvini, naombeni mwenye uelewa na masuala ya vyuo vya ufundi, nina dogo ambaye alifeli form four, zero ana D mbili tu, dogo habari sijui za kurisit anadai yemwenyewe hana imani nazo sana,(anahisi atapoteza muda bure)

Ingawa mimi kama bro, ningependa dogo aendelee kusoma na hii formal edctn, ishu ni kwamba mi mweupe kabisa juu ya vyuo vya ufundi na njia nyingine ambazo tunaeeza kutumia ili kumfikisha mahali fulani dogo, ukiachia hii ya kurisit ambayo yeye haitaki,

Tafadhali, mwenye uelewa na hayo mambo unijuze kidogo, niweze kupata njia ya kumsaidia dogo.

Thanks
 
ungemuuliza dogo anahitaji ufundi gani?? tungeanzia hapo ndio ingekuwa powa zaidi maana kuna ufundi mwingine na elim yake ni tofauti kabisaaa
 
Yupo interested na umeme mkuu
 
Hod jamvini, naombeni mwenye uelewa na masuala ya vyuo vya ufundi, nina dogo ambaye alifeli form four, zero ana D mbili tu, dogo habari sijui za kurisit anadai yemwenyewe hana imani nazo sana,(anahisi atapoteza muda bure)

Ingawa mimi kama bro, ningependa dogo aendelee kusoma na hii formal edctn, ishu ni kwamba mi mweupe kabisa juu ya vyuo vya ufundi na njia nyingine ambazo tunaeeza kutumia ili kumfikisha mahali fulani dogo, ukiachia hii ya kurisit ambayo yeye haitaki,

Tafadhali, mwenye uelewa na hayo mambo unijuze kidogo, niweze kupata njia ya kumsaidia dogo.

Thanks

Hivi vyuo vya Ufundi vya kuanzia Diploma nk lazma minimum qualfcation awe na D walau kwenye B.Maths,Phyisics/Eng science,Chemistry, mengine ni BIOLOGY/GEORGRAPHY,ila kama ana zero ni ngumu kupata, na hata ukiwa na hzo qualification kuna pepa zinapigwa na waombaji ni wengi sana mixer na waliomaliza six kwahyo competition ni kubwa baada ya mchujo wanaopass ndio wanapata chance,ila kama interest yake ni ufundi inabdi aanzie VETA.
 
nenda kajaribu veta asome nabe stg1,2,3 walinambia ukifaulu unaweza kujiunga CBE,IFM AU TIA ukafanya diploma. Sijaenda pia kuhakikisha hivyo vyuo. So kwa uhakika fanya kufwatilia huko vyuoni.
 
Back
Top Bottom