Hod jamvini, naombeni mwenye uelewa na masuala ya vyuo vya ufundi, nina dogo ambaye alifeli form four, zero ana D mbili tu, dogo habari sijui za kurisit anadai yemwenyewe hana imani nazo sana,(anahisi atapoteza muda bure)
Ingawa mimi kama bro, ningependa dogo aendelee kusoma na hii formal edctn, ishu ni kwamba mi mweupe kabisa juu ya vyuo vya ufundi na njia nyingine ambazo tunaeeza kutumia ili kumfikisha mahali fulani dogo, ukiachia hii ya kurisit ambayo yeye haitaki,
Tafadhali, mwenye uelewa na hayo mambo unijuze kidogo, niweze kupata njia ya kumsaidia dogo.
Thanks