Msaada kwenye tuta wakuu......duka la jumla la mahitaji ya upishi wa keki.

FAUMI

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
19
Reaction score
2
Habari ndugu zangu;

Naomba mnifahamishe ni wapi naweza kupata duka linalouza mahitaji ya upishi wa keki kwa hapa Tanzania...hususani Dar es salaam. Itakuwa vema pia kama tutabadilishana ujuzi wa uandaaji wa hizo keki.......KIZURI MPATIE NA MWENZIO.
THANX IN ADVANCE.
 
msaada wanduguuuu.....kama unamfahamu mpishi yeyote wa hizi keki naomba unisaidie kumuuliza ni wapi huwa anapata mahitaji yake......nina shida
 
sifahamu vitu vyote lakini ukitembelea maduka kama imalaseko na shoprite waweza pata vitu kama icing sugar, baking powder kuna zile grapes sasa inategemea wewe unataka kwa jumla na keki za vipi ujieleze vinavyokosekana watakueleza upate wapi. Halafu jaribu kupost jukwaa la mapishi kule watakujuza wapi wanavinunua. all the best

Kuna hawa jamaa wanaitwa PRINCIPLE wako sinza kumekucha mkabala na kanisa la kkkt lile lenye paa la bluu wana kila kitu na pia wanatoa na maelezo ya kutosha sana,jaribu kuwatembelea hao,wana vitu vitu vingi sana toka afrika kusini,pia kuna duka kubwa la waarabu pale kariakoo,pale yanapotokea magari ya shimoni,nao wana bidhaa nyingi sana.nadhani nimekusaidia angalau.
 
asante xana mama joe......u r so nyc....God bless you ma dia...halaf kila corner upo...hahah...kuna thread kama 2 za ufugaji wa kuku nimekuwa nikifuatilia comments zako....big up
 
asante ndugu yangu roky, duka la kariakoo ninalolijua ni lile la karibu na soko la matunda/ soko dogo...lipo beside shimoni, hilo la sinza ndo nmelijua leo...nitalifuatilia na kisha nitaleta feedback......ubarikiwe.
 
Asante best kwa kweli mapishi najifunza ni kwa familia tu, nategemea umepata msaada uliohitaji na mimi nitatembelea hayo maduka pia. Blessings.

Back
Top Bottom