msaada wanduguuuu.....kama unamfahamu mpishi yeyote wa hizi keki naomba unisaidie kumuuliza ni wapi huwa anapata mahitaji yake......nina shida
sifahamu vitu vyote lakini ukitembelea maduka kama imalaseko na shoprite waweza pata vitu kama icing sugar, baking powder kuna zile grapes sasa inategemea wewe unataka kwa jumla na keki za vipi ujieleze vinavyokosekana watakueleza upate wapi. Halafu jaribu kupost jukwaa la mapishi kule watakujuza wapi wanavinunua. all the best
Kuna hawa jamaa wanaitwa PRINCIPLE wako sinza kumekucha mkabala na kanisa la kkkt lile lenye paa la bluu wana kila kitu na pia wanatoa na maelezo ya kutosha sana,jaribu kuwatembelea hao,wana vitu vitu vingi sana toka afrika kusini,pia kuna duka kubwa la waarabu pale kariakoo,pale yanapotokea magari ya shimoni,nao wana bidhaa nyingi sana.nadhani nimekusaidia angalau.
asante xana mama joe......u r so nyc....God bless you ma dia...halaf kila corner upo...hahah...kuna thread kama 2 za ufugaji wa kuku nimekuwa nikifuatilia comments zako....big up