Wadau
Nimepata solution ya modem ya voda.Kwanza kabisa ni kwamba hizi modem ambazo ni mult use ambazo niza Airtel,ni kwamba niza GSM,where by you can use it anywhere with any line(Vodacom,tigo,Airtel n Zantel) So kwa GSM configuration ni *99 then Vodacom.co.tz.So when u put those two parameters itaweza kukonect na ku surf,kitu ya kufanya ni kwamba kila utakapo weka line nyingine unabadilisha tu Vodacom unaweka either Airtel,tigo or zantel.co.tz. Then connect.