K Kilamia Member Joined Jul 9, 2008 Posts 66 Reaction score 11 May 23, 2011 #1 Tafadhali nisaidieni jinsi phrase hii `Regional Integration' inavyoweza kutafsiriwa kwa Kiswahili
A andry surlbaran Senior Member Joined Apr 13, 2011 Posts 166 Reaction score 20 May 23, 2011 #2 Kilamia said: Tafadhali nisaidieni jinsi phrase hii `Regional Integration' inavyoweza kutafsiriwa kwa Kiswahili Click to expand... mahusiano ya kikanda
Kilamia said: Tafadhali nisaidieni jinsi phrase hii `Regional Integration' inavyoweza kutafsiriwa kwa Kiswahili Click to expand... mahusiano ya kikanda
S Senior Bachelor Member Joined Mar 23, 2011 Posts 86 Reaction score 32 May 28, 2011 #3 Safi sana Kilamia japo kidogo umekosea. Ni "uhusiano wa kikanda" na sio "mahusiano" pia waweza kusema "muungano/muunganiko wa kikanda". Neno uhusiano linabeba dhana pana zaidi ya "muunganiko". Japo ni zuri pia.
Safi sana Kilamia japo kidogo umekosea. Ni "uhusiano wa kikanda" na sio "mahusiano" pia waweza kusema "muungano/muunganiko wa kikanda". Neno uhusiano linabeba dhana pana zaidi ya "muunganiko". Japo ni zuri pia.