Kibatari Member Joined Feb 4, 2008 Posts 16 Reaction score 3 Jul 30, 2009 #1 WanaJF, Kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia contacts za taasisi yoyote iwe ya umma ama binafsi inayopokea Hati ya Makazi(Sio hati ya nyumba) kama collateral ya mkopo wa fedha Taslim, kama ipo tafadhari.
WanaJF, Kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia contacts za taasisi yoyote iwe ya umma ama binafsi inayopokea Hati ya Makazi(Sio hati ya nyumba) kama collateral ya mkopo wa fedha Taslim, kama ipo tafadhari.