Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

Hassani

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
900
Reaction score
1,632
Natanguliza heshima mbele wakuu,mimi najifunza webdesign by HTML,XHTML,CSS,niko hatu za mwanz😵mbi langu ni kama kuna mtu anaweza kunisaidia upatikanaji wa Server5.1(Internet information server),hii ni kwa ajili ya mazoezi,natanguliza shukrani
 
Hassan version 6 ipo hewani siku nyingi tu.jenga mazingira ya kujua kutumia google..
 
Back
Top Bottom