Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

Chopper

Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Mwenye uelewa wowote kuhusu wilaya ya Muleba tafadhari, hususani Hali ya kimaisha na mazingira na wanajamii wa huko.... Hamu yote ya ajira imeniisha.
 
Mwenye uelewa wowote kuhusu wilaya ya Muleba tafadhari... Hamu yote ya ajira imeniisha.

Kama hamu ya ajira imeisha kaa nyumbani ya nini kujilazimisha kuajiriwa bila hamu?!

Maisha ni popote na Mungu anamakusudi na kila jambo maishani mwako; hii kuuliza uliza ni kujipotezea muda tu. Jipange uende. Maisha ni mapambano.
 
Jiandae tu kula haya makitu kwa wingi....

attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • 155910_215254425276160_1339683508_n.jpg
    155910_215254425276160_1339683508_n.jpg
    13.5 KB · Views: 103
  • 182189_404504439631621_1602740692_n.jpg
    182189_404504439631621_1602740692_n.jpg
    32.3 KB · Views: 99
Back
Top Bottom