C Chopper Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Feb 14, 2013 #1 Mwenye uelewa wowote kuhusu wilaya ya Muleba tafadhari, hususani Hali ya kimaisha na mazingira na wanajamii wa huko.... Hamu yote ya ajira imeniisha.
Mwenye uelewa wowote kuhusu wilaya ya Muleba tafadhari, hususani Hali ya kimaisha na mazingira na wanajamii wa huko.... Hamu yote ya ajira imeniisha.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,540 Feb 14, 2013 #2 Chopper said: Mwenye uelewa wowote kuhusu wilaya ya Muleba tafadhari... Hamu yote ya ajira imeniisha. Click to expand... Kuna mademu bwelele, full katerero, infwakti uta enjoy...!!!
Chopper said: Mwenye uelewa wowote kuhusu wilaya ya Muleba tafadhari... Hamu yote ya ajira imeniisha. Click to expand... Kuna mademu bwelele, full katerero, infwakti uta enjoy...!!!
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,392 Feb 14, 2013 #3 Chopper said: Mwenye uelewa wowote kuhusu wilaya ya Muleba tafadhari... Hamu yote ya ajira imeniisha. Click to expand... Kama hamu ya ajira imeisha kaa nyumbani ya nini kujilazimisha kuajiriwa bila hamu?! Maisha ni popote na Mungu anamakusudi na kila jambo maishani mwako; hii kuuliza uliza ni kujipotezea muda tu. Jipange uende. Maisha ni mapambano.
Chopper said: Mwenye uelewa wowote kuhusu wilaya ya Muleba tafadhari... Hamu yote ya ajira imeniisha. Click to expand... Kama hamu ya ajira imeisha kaa nyumbani ya nini kujilazimisha kuajiriwa bila hamu?! Maisha ni popote na Mungu anamakusudi na kila jambo maishani mwako; hii kuuliza uliza ni kujipotezea muda tu. Jipange uende. Maisha ni mapambano.
unknown animal JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 337 Reaction score 51 Feb 14, 2013 #4 mkuu wa wilaya ya muleba
C Chopper Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Feb 14, 2013 Thread starter #5 Ameni...!!
C Chopper Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Feb 14, 2013 Thread starter #6 Mazingira na hali ya maisha ya huko
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Feb 14, 2013 #7 Jiandae tu kula haya makitu kwa wingi.... Attachments 155910_215254425276160_1339683508_n.jpg 13.5 KB · Views: 103 182189_404504439631621_1602740692_n.jpg 32.3 KB · Views: 99