Kama kichwa cha habar kinavojieleza
Naomba anaefaham au ambae ashawah kufanya biashara ya smatphones na
ELECTRA LINK LTD USA SMARTPHONE branch ya kenya ​
Wanatumia namba: 00254773036008
Whatsapp : 00254773036008
Je n kwel kampun hii ya kwel au n matapel!?
Kwa anaeifaham msaada tafazal
Kuwa makini sana na biashara za mtandaoni
Mkuu unawafaham!!?maana nataka kufanya deal nao ila siwaamin natafuta mtu ambae ashafanya nao kazi