Umesema imepita miezi sita tangu huyu binti akutose? ulikuwa hujapata mwenza aliye serious?
Katika mambo haya uamuzi wa mwisho ni wa kwako lakini miezi 6 ni muda mrefu. Anataka kukutumia tu kama spare tyre - huenda na yeye katoswa huko. Unajuaje kama hatokutenda tena?
Nakushauri u move on na achana nae kabisa