Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Tafuta gif animator yoyote ukifanya animation unauwezo wa kufanya convention kwenda katika flash au mpeg
Wakuu heshima mbele,
Mazee naomba tafu kwa mdau yeyote ambaye ana ufahamu kuhusu software yeyote ambayo ipo capable kutengeza video clips kutoka kwenye images files kama vile JPEG etc.
Naomba video format ikiwezekana iwe ktk muundo ambao ni rahisi kuchezeka na window media player..mathalan *.AVI *.MPEG etc .yaani nisingependa complication ya ziada ya kutafuta media ya ku-play hiyo video.
Natanguliza shukrani.
al Masih.
hebu nieleze kwa utuo kidogo..
Unajua mimi mgeni huku bara..
Tafadhali..
naona unaanza utani
haya usiku mwema wengine watakuja
Wewe mtindio, ushaanza! wewe na mambo hayo wapi na wapi? duhh...au unataka kubadili zile snap zako za nanihii kwenda kwenye nanihii? Allahu Akbar, makubwa haya, haya mpeni kichaa mke...
Hiyo haina quality